Taifa Leo Newspaper Sports Headlines

Categories

News
Sports
Taifa Leo

 Home >> Kenya >>

Taifa Leo


Taifa Leo Newspaper: Read daily updated Sports headlines of Taifa Leo Newspaper

Newspaper Software

News Headlines:


Russia yatia fora katika riadha
RUSSIA imeonyesha wapinzani wake wa Ulaya kuwa ingali mahiri katika mashindano ya mbio baada ya kunyakua nishani nyingi na kuongoza jedwali la medali kwenye Riadha za Ubingwa wa Uropa hadi kufikia sik
Beckham akanusha anahama Los Angeles
MWANASOKA maarufu, David Beckham amesema kuwa hana haja ya kuhama timu yake ya Los Galaxy Angeles ya Amerika na kwamba hakuwasiliana na klabu ya West Ham United kuhusu kuhama, kwa mujibu wa msemaji wa
Fulham wamchukua Hughes kuwa kocha
ALIYEKUWA kocha wa Manchester City msimu uliopita, Mark Hughes, amepewa kandarasi ya kufundisha Fulham kwa muda wa miaka miwili.

Hughes, mwenye umri wa miaka 46, amekaa nje ya ufundishaji tangu afu

Man-City wapunguza wachezaji wao
MABWANYENYE wa Manchester City wameanza kupunguza kikosi chao baada ya kumuuza beki Javier Garrido kwa klabu ya Lazio kwa thamani isiyojulikana.

Sogora huyo mwenye umri wa miaka 25 anachukua nafasi

Radcliffe atoa onyo
Paula Radcliffe, anayeshikilia rekodi ya dunia ya mbio za marathon, amewaonya wapinzani wake kwamba atarejea kwa kishindo akilenga kutwaa ubingwa huo baada ya kuzaa mtoto wake wa pili. Radcliffe, amba
Wakimbiaji wasifiwa kwa kuzima Ethiopia
AFISA wa Baraza la Michezo mkoani Pwani, Hatim Bana, jana aliwapongeza wanariadha Wakenya kwa kukomesha utawala wa Ethiopia kwenye mbio ndefu za kimataifa.

Bana aliipongeza timu ya Kenya kwa kushin

Cherotich afaidi rekodi ya taifa
Licha ya kushindwa kusonga mbele, Caroline Cherotich, ameweka rekodi mpya ya kitaifa katika shindano ya kuruka kwa kutumia ?to.

Mkenya huyo aliruka juu mita 3 lakini akamaliza katika nafasi ya tano

Kampuni yawawekea waandishi televisheni
Kampuni ya Samsung imewapa waandishi televisheni kubwa itakayowawezesha kushuhudia moja kwa moja mbio za Nairobi 2010 wakati wakiwa katika chumba cha kutayarishia habari uwanjani Nyayo.

Meneja wa u

Sailer atwaa taji la mbio za mita 100
Mwanariadha Verena Sailer wa mbio fupi alitumia nguvu za ziada na kutwaa ubingwa wa mbio za mita 100 za Ulaya. Alichukua ubingwa huo kwa sekunde chache tu mbele ya Veronique Mang wa Ufaransa.

Lakin

RIADHA ZA UBINGWA WA AFRIKA
Harambee Stars kuingia kambini
HARAMBEE Stars itaingia kambini mnamo Agosti 2 kuanza maandalizi ya mchujo wa mechi za kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.

Kocha mkuu, Twahir Muhiddin atasaidiwa na Bernard Otieno Zi

Mwangaza yawika
THIKA: Mwangaza FC iliichapa Ngenda Matata 3-1 katika ligi ya Gatundu Kusini uwanjani Kimunyu. Washindi waliongoza kwa mabao 2-0 kufikia mapumziko. Mshambulizi matata wa Mwangaza, Francis Njuguna, ali
Chama cha kandanda ya wasio na makao kina shida za kifedha
CHAMA cha soka ya wachezaji wanne kila upande cha Kenya kwa wasio na makao (KHSSA), kinakabiliwa na matatizo ya fedha za kugharamia shughuli za maandalizi ya timu ya taifa.

Wanasoka hao wanajiandaa

Mabingwa Jamhuri wako na kazi kubakia kileleni
MABINGWA wa kitaifa kwenye soka ya shule za upili mkoa wa Nairobi mwaka huu wana kibarua kigumu cha kuhifadhi taji hilo baada ya kutiwa kwenye `kundi la kifo'.

Kulingana na droo iliyofanywa jana,

Kampuni yataka kusaidia vijana
NAIROBI: Kampuni ya Sony Sugar itakutana na mabingwa wa Sakata Ball Safaricom Challenge, Bukembe Youth, kujadili jinsi ya kuimarisha talanta zao katika soka, Saul Wasilwa Mkurungezi Mkuu wa kampuni hi
Mechi za kombe la Mfungo zinaanza leo
MOMBASA: SHIRIKISHO la Soka nchini (KFF), tawi la Mombasa, limetayarisha shindano la Mfungo Cup kwa mechi kadha kuanzia leo hadi Agosti 8. Mwenyekiti wa tawi, Gabriel Mghendi, alisema shindano hilo li
Rudisha aonyesha nia ya kuhifadhi taji
BINGWA mtetezi na mwanariadha wa pili kwa kasi duniani kwenye mbio za mita 800 David Rudisha ameonyesha dalili za kutetea nishani ya dhahabu salama wakati wa fainali ya mbio hizo leo.

Kama ilivyota

Mutegi na Mutai waingia fainali ya mita 400
KENYA itajaribu kushinda dhahabu kwenye mbio fupi baada ya wanariadha wake wawili kufuzu kwa fainali ya mita 400 kufuatia kufana kwenye nusu fainali ya pili jana. Anderson Mureka Mutegi na Mark Mutai
Nigeria yaendelea kuwika masafa mafupi
NIGERIA imezidi kuonyesha kuwa haina mpinzani thabiti katika mbio za masafa mafupi baada ya kunyakua nishani ya dhahabu kwenye mbio za mita 100 kwa upande wa wanawake.

Blessing Okagbare alitimka ka

Huenda Kenya ikapata dhahabu tatu mbioni leo
KENYA inaweza kujiongeza nishani tatu za dhahabu leo zitakazoiwezesha kujiimarisha katika msimamo wa Riadha za Ubingwa wa Afrika uwanjani Nyayo. Na japo fani tatu ambazo Kenya imefahamika kuzitawala
Mrushaji kisahani kutoka Afrika Kusini aongoza
AFRIKA Kusini ilionyesha haja ya kuhifadhi taji la jumla kwenye mashindano ya Riadha za Afrika baada ya kuchukua nishani ya dhahabu kwenye shindano la urushaji kisahani (discuss). Victor Hogan alinyak
Nigeria nayo yanyakua mataji mawili ya mita 100
NIGERIA ilijinyakulia nishani nyingi za dhahabu katika siku ya pili ya riadha za ubingwa wa Afrika baada ya vipusa wake kushinda mbio za mita 100 kuruka viunzi pamoja na mita 100 jana. Seun Adigun ali
Wakenya wazoa nishani mbili kuruka na kijiti
KENYA iliimarisha matumaini ya kumaliza katika nafasi bora mashindano ya Riadha za Afrika baada ya kunyakua nishani za dhahabu na fedha kwenye shindano la urukaji kwa ?to (Pole Vault) jana. Caroline C
Bado shule ya Upper Hill yashika uongozi
UPPER Hill School iliendelea kushikilia uongozi katika msimamo wa ligi ya mpira wa vikapu ya Mkoa wa Nairobi baada kuandikisha ushindi katika mechi mbili mfululizo uwanjani Railways club Jijini Nairob
Mathare iko juu licha ya kutingwa
Mathare Ladies ilipoteza mechi yao ya pili ya Ligi Maalum ya soka la wanawake kwa kufungwa bao 1-0 na Moyas katika mechi iliyochezwa uwanja wa Gereza la Lang'ata jijini Nairobi. Ingawa ilishindwa mch
Taji la Katiba `NDIYO' laenda kwa Al Hilal FC
Al hilal FC ilifuzu kwa fainali ya kuwania taji la katiba 'NDIYO' baada ya kuichakaza Ziwani Sportif FC 2-1 kwenye mechi kali ya nusu fainali iliyochezewa katika uwanja wa Peleleza wilayani Likoni. <
Wanamisuli kujaajaa
SHINDANO la misuli la Bw Mwakwere 2010 Dzipata litafanyika Jumamosi katika hoteli ya Curio Restaurant mjini Kwale.

Mtayarishi wa shindano hilo, Urbanus Kioko Nzuki alisema kuwa mashindano hayo yam

Wanakarate wa Kenya kuzienda Afrika Kusini
WANA KARATE wa timu ya taifa wana kibarua kigumu mbele yao kwenye pambano la ubingwa wa bara la Afrika ambalo litafanyika mjini Cape Town, Afrika kusini Agosti 1 hadi 4 mwaka huu.

Timu ya wachezaji

Mathare na Tusker kumenyana katika kinyang'anyiro cha FKL
RAUNDI ya pili ya mechi za kuwania ubingwa wa FKL Cup itaanza mwishoni mwa wiki hii.

Pambano litakaloangaziwa zaidi litakuwa kati ya mabingwa wa zamani wa kombe hilo, Mathare United wakivaana na T

Olympique Marseille yamwinda Adebayor
KLABU ya Olympique Marseille imeamua kukabiliana na mabwanyenye wa Manchester City kuhusu uhamaji wa straika Emmanuel Adebayor, tetesi zinaeleza.

Marseille, mabingwa wa Ufaransa walishinda Ligi Ku

Barcelona yakadiria hasara ya mabilioni
BARCELONA ina deni la Sh45 bilioni baada ya kupata hasara ya zaidi ya 8 bilioni msimu uliopita, ripoti mpya ya ukaguzi wa matumizi ya pesa imebaini.

Bodi iliyotangulia, ikiongozwa na Joan Lapo

Liverpool yazidi kukataliaTorres
KOCHA wa Liverpool Roy Hodgson anatarajia mshambuliaji matata, Fernando Torres kubakia katika klabu hiyo angaa kwa msimu mmoja ujao. Sogora huyo mwenye umri wa miaka 26 amehusishwa sana na kuhama uwan
Yeyote anayemtamani Luiz kutoa Sh4 bilioni
KLABU ya Benfica imeongeza thamani ya sogora David Luiz anayetamaniwa na Manchester United na Chelsea kutoka Sh3.2 bilioni hadi Sh4 bilioni, tetesi zinaeleza. Gazeti la Sportsmail lilidokeza mnamo Jum
Manchester City iko tayari kumuuza Cruz
MANCHESTER City iko tayari kumuuza sogora `mlaaniwa' Roque Santa Cruz kwa mabingwa wa Ufaransa, Marseille la kini kwa thamani ndogo, karibu nusu ya fedha ilizomnunulia msimu uliopita, gazeti la
Bolton yamsajili chipukizi Marco
BOLTON Wanderers wamemsajili chipukizi Marco Alonso kutoka klabu ya Real Madrid kwa mkataba wa miaka mitatu lakini kwa thamani isiyojulikana. Beki huyo mwenye umri wa miaka 19 alijitoma katika kikosi
Kocha mpya wa Argentina kujulikana Septemba 7 -AFA
KOCHA mpya wa kudumu wa timu ya taifa ya Argentina atajulikana Septemba 7, shirikisho la soka la nchi hiyo(AFA) limetangaza.

Msemaji wa AFA, Ernesto Cherquis Bialo alitangaza kupitia mtandao kuwa h

KIPROP ASHINDIA KENYA DHAHABU
KAMA ilivyobashiriwa, Kenya ilichukua nishani ya kwanza ya dhahabu kwenye Riadha za Afrika zinazoendelea uwanjani Nyayo kwenye fainali za mita 10,000 ambazo Mganda alivurugia wenyeji nafasi
Ni Bussia Rock Tigers
Klabu ya Busia Rock Tigers ilinyakua taji la Ligi ya Eastern Super Mini baada ya kuilaza Bulls mabao 2-1 katika fainali ngumu iliyochezewa uwanjani Sir Titi Winyi, Malaba hapo Jumatatu. Rock Tigers il
Mbio za wanafunzi wa vyuo vya kimatibabu nchini zakamilika Kisumu
ROYBODAS Wambua wa Machakos na Fridah Sarno wa Kapkatet walishinda mbio ya mita 1500 kwenye mashindano ya Kenya Medical Colleges National Athletics ambayo yalifanyika mjini Kisumu kwenye uwanja wa Moi
Wachezaji wapya 9 watajwa kikosini
WACHEZAJI wapya tisa wametajwa katika timu ya Kenya ya wasichana wa umri wa miaka 18 itakayoshiriki mashindano ya Afrika yatakayofanyika jijini Cairo, Misri kuanzia kesho.

Akitangaza wachezaji wata

Ff2 FC yapiga Chepgoiben 3-2
Chepgoiben FC ilichapwa mabao 3-2 na Ff 2 FC kwenye mechi ya ligi ya Finlays katika uwanja wa Saosa nayo Kapsongoi ikalima Chomogoday magoli 3-1 katika uwanja wa Chepsongoi juzi. Katika uga wa Engeen
KPA yatuzwa Sh7000 kwa kulinyakua taji
Timu ya Kenya Ports Authority (KPA) ilituzwa Sh7000 baada ya kunyakua taji la Voliboli katika uwanja wa Changamwe Jumatatu. Michuano hiyo imeshirikisha timu za Mashirika, Tasisi na shule ambapo timu 1
Mabingwa KCB watoa Posta uongozini wa ligi
MABINGWA watetezi KCB Lions waliwang'oa wapinzani Posta kutoka nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi Kuu ya vikapu baada ya kuzoa pointi mbili mwishoni mwa wiki.

KCB Lions iliandikisha ushindi wa

Mjerumani apuuzilia mbali Manchester Utd na Chelsea
NYOTA wa Ujerumani, Sami Khedira aliyevuma wakati wa fainali za Kombe la Dunia, amekataa kufanya mazungmzo na timu za Manchester United na Chelsea.

Badala yake kiungo huyo amesema timu pekee inayo

Wazua mjadala juu ya mavazi ya klabu
MASHABIKI wamezusha mjadala mkali kulalamikia kubadilishwa mara kwa mara kwa bidhaa za klabu zinazoshiriki katika Ligi Kuu ya Uingereza kama vile mavazi mapya ya mechi za nyumbani.

Kinyume na awal

Nyota anaandamwa
Tottenham Hotspur iko tayari kutumia kitita pauni 45 milioni (Sh1.5 bilioni) kumnasa nyota Luis Suarez, kocha ya klabu hiyo Harry Redknapp amesema anataka kusajili wachezaji watatu wapya akibania kutw
Maafisa wamruhusu Mascherano aondoke
Wakuu wa LivLORTIONS niatisl estrud erpool wamemruhusu Javier molut utet wisi.
Mascherano wLor Kul kuondoka.
auguero ingana na dolor habariadio
Newcastle amfanyia mwanasoka ukaguzi
Huenda mlinzi Sol Campbell akajiunga na Newcastle United. Klabu imeripoti baada ya nyota huyo wa Uingereza kuwasili mjini hapa kwa ukaguzi wa kimatibabu. Mkataba wa mchezaji wa miaka 35 na klabu ya Ar
Bingwa wa Ulaya aonya Mjerumani
Bingwa wa Ulaya wa ngumi za uzani wa Light-heavy, Nathan Cleverly ametangaza kumcharaza Mjerumani Karo Murat watakapokutana katika ukumbi wa LG Arena kuwania ubingwa wa WBO mjini Birmingham mnamo Sept
SHINDANO KUU
Alfajiri uwanjani Nyayo wanariadha 800 kutoka mataifa 45 yatakayoshiriki wataanza kumiminika humo wakisaka ushindi kwenye fani mbalimbali za makala haya ya 17, lakini Kenya inaonekana kuwa katika nafa
CHIPUKIZI WASISIMUA ULIMWENGU
MSTAKABALI wa Kenya kwenye riadha ulimwenguni umejaa nuru baada ya chipukizi wake kuchukua ubingwa wa Riadha za Dunia miongoni mwa vijana zilizokamilika mjini Moncton, Canada Jumapili usiku.

Jonath

Wapania ushindi masafa mafupi
KENYA inapania kuingia katika madaftari ya riadha kwa kuweka muda bora zaidi katika masafa mafupi ya riadha za Afrika zinazoanza kesho uwanjani Nyayo.

Kwenye mita 400, Kenya imeegemeza matumaini ya

Kakamega High watwaa tena ubingwa wa soka mkoa wa magharibi
MABINGWA wa awali wa kitaifa wa soka, Kakamega High School ndio mabingwa wa Mkoa wa Magharibi.

Walitwaa ubingwa huo mwishoni mwa wiki baada ya kuicharaza Misikhu Boys 4-0 katika fainali iliyochez

Spedag LC yarejea na nyumbani na point 3
MABINGWA wa soka la wanawake mkoani Pwani, Spedag LC walihifadhi rekodi ya kutoshindwa katika Ligi Maalum na kurudi nyumbani na pointi tatu baada ya ziara ya mechi mbili jijini Nairobi mwishoni mwa wi
Wanajeshi wanaendelea kulinda vikali ngome yao
ULINZI Stars iliendelea kushikilia uongozi wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) kwa wiki ya pili mfululizo baada ya kuikung'uta Chemelil Sugar 2-1 mwishoni mwa wiki.

Timu hiyo ya jeshi imejikusanyia jumla y

Vipusa wa Sega wahifadhi taji lao
KISUMU: SHULE ya wasichana ya Sega ya wilaya mpya ya Ugenya ilihifadhi taji la Mkoa wa Nyanza baada ya kuilaza Gekomoni ya Nyamira kwa 2-0 kwenye fainali uwanjani Moi mjini Kisumu. Awali, katika nusu
United Brothers FC yaendelea kutamba
THIKA: UNITED Brothers FC iliendelea kuongoza ligi ya wilaya ya Thika, kwa kuikomoa Magogoni FC kwa mabao 3-1 katika uwanja wa kilimambogo mwishoni mwa wiki.
Washindi waliongoza kwa mabao 2-0 kufik
Kikosi cha kina dada kina matumaini ya kuchukua Kombe la vikapu barani
WACHEZAJI watatu wa timu ya taifa ya vikapu walioko kambini hawatasa?ri kuelekea Misri kushiriki mashindano ya bara Afrika.

Kocha, Phillip Onyango aliyetarajiwa kutangaza kikosi chake jana usiku al

Wito wapatie wenyeji nafasi
MOMBASA: MWENYEKITI wa tawi dogo la KFF wilayani Mombasa, Gabrael Mgendi ametoa wito kwa timu za mkoa wa Pwani zinazoshiriki kwenye ligi ya taifa daraja la kwanza na la pili kuwapa nafasi vijana wa mk
Deliverance yakosa makali kujikomboa
NAIROBI: WACHEZAJI wa Kenya Homeless walikomolewa 2-1 na Deliverance FC kwenye mechi za muondoano kuwania taji la Kofi Annan ugani Baba Ndogo wikendi. Kinyang'anyiro hiki kinaandaliwa na Kenya Youth P
Magongo: Kenya Police yarejea kileleni Ligi Kuu
WANAMAGONGO wa Kenya Police waliadhibu wenzao Mvita SC 1-0 kwenye mfululizo wa mechi za ligi kuu kwa wanaume mjini Mombasa wikendi.

Nayo Green Sharks ikamimina Wazalendo magoli 5-1 ugani City Park

Kenya yatarajia kivumbi mbio za masafa marefu
Na WAANDISHI WETU KENYA itapata nafuu kwenye mbio za masafa marefu hasa mita 5,000 na 10,000 baada ya bingwa maradufu Kenenisa Bekele kujiondoa katika kikosi cha Ethiopia kitakachoshiriki Riadha za A
Mario Balotelli kugura Inter
INAONEKENA straika stadi wa Inter Milan Mario Balotelli yuko barabarani akielekea Manchester City kwa kima cha Sh3 bilioni ambapo atakuwa akila mshahara wa Sh8 milioni kila wiki. Kijana huyo mwenye um
Vipusa wa Nigeria waduwaza Amerika
VIPUSA wa Nigeria wamefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia la wasichana wasiozidi miaka 20 baada ya kuadhibu mabingwa watetezi Amerika mabao 4-1 kupitia mikwaju ya penalti mnamo Jumapili.

Kweny

Drogba kuachwa nje msimu utakapoanza
MSHAMBULIZI wa Chelsea na mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uingereza, Didier Drogba, anatarajiwa kuachwa nje kwa muda wakati msimu mpya utakapoanza kutokana na upasuaji aliofanyiwa shingoni. Lakini huenda
Mshambuliaji Raul kuhamia Ujerumani
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Uhispania, Raul, anatarajiwa kutangaza kugura kwake Real LORTIONS niatisl estrud Madrid baada ya kibarua cha molut utet miaka 17. wisi.

Ripoti wLor kuwa

Nahodha Ferdinand kutocheza majuma 6
NAHODHA wa Uingereza Rio Ferdinand atakaa nje ya kikosi cha Ligi Kuu inayoanza mwezi ujao kwa karibu majuma sita kutokana na jeraha la gotini, kulingana na kocha wake Alex Ferguson wa Manchester Unite
Manchester City ingali inamwandama Torres
KOCHA wa Manchester City, Roberto Mancini, anataka kumsaini straika stadi Fernando Torres wa Liverpool lakini iwapo tu thamani yake itakadiriwa sahihi.

Kocha mpya wa Liverpool, Roy Hodgson amekiri

Matokeo ya kufuzu kwa fainali za chipukizi Afrika
CAMEROON imetosa mguu mmoja kwenye raundi ya tatu ya kufuzu kwa fainali za Afrika miongoni mwa chipukizi wasiozidi miaka 20 baada ya kutandika Afrika ya Kati 4-0 mnamo Jumapili.
Kwenye mechi zilizo
Alberto Contador Uhispania
Kenya yaendelea kuwika katika mbio za chipukizi
DAVID Kiprotich Bett alizoa nishani ya dhahabu kwenye Riadha za Dunia miongoni mwa chipukizi nchini Canada na kusaidia Kenya kushikilia uongozi wa msimamo kwa jumla ya dhahabu tano.

Bett alitumia d

Viongozi wakuu wa riadha wawasili nchini
VIONGOZI wakuu wa vyama vya riadha duniani na baraniIAAF na CAAwanaendelea kuwasili mjini ambapo watahudhuria vikao vya siku mbili vya Baraza la Mikutano la Chama cha Riadha Afrika (CAA). Rais wa CAA
ICC yamarisha matokeo ligini
WANAVIKAPU wa International Christian Centre (ICC) waliendeleza kampeni ya kufuzu kwa nusu-fainali ya Ligi Kuu msimu huu kwa kulaza Lomboritz 66-55 uwanjani KCB Sports Club, Ruaraka jana.

ICC, amb

Likoni Rangers yasakamwa 3-2
MENDE FC ilianza vyema kampeni za kuwania Mfungo Cup baada ya kuisakama Likoni Rangers FC 3-2 kupitia mikwaju ya penalti katika uwanja wa Bomani wilayani Likoni. Timu zingine kwenye michuano hiyo ni p
Dimba la netiboli kuanza Ijumaa hii
DIMBA la netiboli kuwania taji la Mount Kenya Kusini la siku tatu kwa timu za wanaume na kina dada limeratibiwa kuanzia Ijumaa ijayo hadi Jumapili Agosti Mosi. Shindano hili la mkondo wa tatu lit
Chepgoiben yatamba
Chepgoiben FC ilichapa FTC Saosa FC kwa 2-1 kwenye mechi ya kuwania ubingwa wa Finlays kanda ya Saosa katika uwanja wa Saosa. Obunga mnamo dakika ya 70. Zaidi ya timu 20 zinashiriki kwenye mechi hizo
Waa wachukua ubingwa wa soka wa shule za sekondari
WAA Secondary School imeibuka mabingwa wa soka wa shule za upili mkoani Pwani baada ya kuilaza Tononoka Secondary kwa bao 1-0 kwenye fainali iliyofanyika uwanja wa shule ya upili ya Voi, Jumamosi.

Pamoja Multisports washikilia uongozi
WACHEZAJI wa Pamoja Multisports Academy-Kiamumbi, wameorodheshwa kileleni baada ya kukamilisha mechi zao za mkondo wa pili wa kuwania taji la Pamoja Multisports kwa alama 364 .

Chipukizi wa Moi For

Karate: Maandalizi ya Kombe la Afrika
TIMU ya taifa katika karate yatarajiwa kuingia kambini kesho kwa maandalizi ya mwisho kushiriki pambano la ubingwa wa Bara la Afrika.

Kesho msemaji wa polisi nchini Eric Kiraithe anatarajiwa kutang

KENYA YAHITAJI ALAMA MOJA TU
KENYA inahitaji sare au kufungwa bao moja itakapocheza na Sudan marudiano ili iingie raundi ya tatu ya kufuzu kwa fainali za Afrika katika soka ya vijana wasiozidi miaka 20. Kenya iliadhibu wenyeji
Vikapu: Chipukizi wataondoka Jumatano kuwania taji la Afrika
CHIPUKIZI wa Kenya wafungua fainali za mpira wa vikapu barani Afrika kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 18 dhidi ya wenyeji Misri hapo Alhamisi.
Kulingana na katibu mkuu wa Shirikisho la Vikapu
Chipukizi asakwa na vlabu vya Uingereza
KOCHA, Steve Bruce wa Sunderland amejiunga na wakufunzi wengine wanaosaka mshambuliaji matata, Nicki Bille Nielsen.
Mbali na Sunderland nyota huyo wa Denmark pia anatafutwa na klabu ya Everton
Huenda Beckham akagura LA Galaxy
HUENDA David Beckham akarejea katika Ligi Kuu ya Uingereza. Nahodha huyo wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza anatarajiwa kujiungana na West Ham United. Kwa sasa kiungo huyo an
Man-City Kusalia na wachezaji 25 pekee
MANCHESTER City inapanga kuwaachilia Shaun WrightLORTIONS estrud na niatislLescott Phillips, Joleon molut Wayne utet wisi. wLor Bridge wajiunga na timu dolor aug
Sanya Richards aamua kupumzika msimu huu
PARIS, Ufaransa: MWANARIADHA Sanya Richards-Ross amtengaza kutoshiriki katika mbio zozote msimu huu.

Lakini raia huyo wa Amerika anayeshikilia ubingwa wa dunia wa mbio za mita 400 amesema kwamba at

Almagro ambwaga bingwa mtetezi ATP
BAASTAD, Sweden: NICOLAS Almagro wa Uhispania alimshinda bingwa mtetezi, Robin Soderling kwenye fainali ya ATP Swedish Open, Jumapili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24alisema mechi hiyo kwa 7-

Liverpool bado yamng'angania
ALIYEKUWA kocha wa Liverpool, Kenny Dalglish amesema hatarajii Fernando Torres kuhama klabu hiyo. Kumekuwa na uvumi kwamba mshambuliaji huyo aliye na umri wa miaka 26 anapanga kuondoka, lakini Dalglis
Nigeria itafaulu kuzima Amerika dimbani leo?
SAWA na fainali za dunia za wanaume, vipusa wa Nigeria watajibidiisha kubandua Amerika kwenye Kombe la Dunia kwa wasichana wasiozidi miaka 20 nchini Ujerumani leo.

Timu ya Afrika, Ghana ndiyo ilio

Shirikisho laadhibu timu ya taifa iliyofedhehesha
SHIRIKISHO la Kandanda la Ufaransa limeadhibu kikosi kilichofedhehesha taifa hilo kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa kukipiga marufuku ya kutocheza kwa muda.

Kocha mpya wa Ufaransa Laurent Blanc

Man-U, Chelsea zagonga ukuta zikisaka mchezaji
MAHASIMU katika Ligi Kuu ya Uingereza Manchester United na Chelsea wameuma mchanga na hasara juu baada ya nyota waliomezea mate, Sami Khedira kusema anatamani Real Madrid wala hapendi Red Devils na Th
Amsihi Fabregas aondoke Arsenal
BARCELONA: Sajili wa Barcelona, David Villa amemsihi Cesc Fabregas "kuja tuungane" kwa kuhama Arsenal.
Straika aliyeongoza katika ufungaji pamoja na wengine, ameazimia kufanya lolote ili amvutie mw
Mwanatenisi maarufu afuzu kwa nusu fainali
ATLANTA: Mwanatenisi nambari moja Andy Roddick alimchapa Xavuer Malisse na kuingia nusu fainali ya Ubingwa wa Atlanta. Alishinda 2-1 (4-6 6-3 6-4). Alsonga mbele baada ya kutoshana 4-4 kwenye seti ya
Akubali mkataba mrefu
LONDON: Difenda wa Manchester United Nemanja Vidic amekubali kuongezewa mkataba "mrefu", amesema mkurugenzi mkuu David Gill. Vidic mwenye umri wa miaka 28, alijiunga na Man-U 2006 kwa kima cha Sh840 m
Wakenya wanalenga ubingwa
KENYA ina na fasi murua ya kujiongeza dhahabu mbili siku ya mwisho ya Riadha za Dunia miongoni mwa vijana mjini Moncton, Canada.

Hadi tukienda mtamboni jana, Kenya ilikuwa inaongoza orod

Kibarua cha kwanza
Kocha, Robert Matano sio mgeni katika Ligi Maalum ya Kenya (KPL). Kwani amewahi kuziandaa timu zingine hapo awali, ikiwa pamoja na kushinda taji hili akiwa na mabingwa wa sasa, Sofapaka FC.

Hata hi

Beniver yachapa Sisal United FC
Beniver FC iliigonga Sisal United FC kwa mabao 2-1 katika ligi ya wilaya ya Thika magharibi, iliyochezewa uwanja wa Premier bag Juja. Hadi mapumziko pande zote mbili zilikuwa sare kwa kulimana bao 1
Mataifa 5 kushiriki shindano la Kimsca
Huku zikiwa zimesalia siku chache kabla ya mashindano baina ya mabaraza nchini (Kimsca) kung'oa nanga mjini Nakuru, uwanja wa Afraha ambao utatumiwa kwa michezo kadha bado haujakamilika. Mashindano
Uwanja wa Khayega kufanyiwa ukarabati
: Uwanja wa LORTIONS niatisl estrud michezo wa Khayega utamolut utet wisi. wLor fanyiwa ukarabati mkubwa.
auguero dolor adio Mbunge wa Shinyalu, Kizito odionsectem init vendre Justus Mugali alise
Klabu 20 kugombea ubingwa wa Kyorugi
: Klabu 20 zita shiriki pambano la Tae Kwon Do kuwania taji la Kyorugi Championship kwa chipukizi na wachezaji waliokomaa ambalo linaandaliwa na kamati ambayo hushughulikia mchezo huo nchini.
Shin
Jamhuri High yafuzu kwa fainali baada ya miaka 32
JAMHURI High School imefuzu kwa fainali ya kitaifa ya shule za sekondari baada ya subira ya miaka 32. Mabingwa wa zamani walishinda Kamukunji 1-0 katika Uwanja wa Nairobi School.

Bao la ushindi li