Daily Metro Newspaper Headlines

Categories

News
Business
Entertainment
Sports
Daily Metro

 Home >> Kenya >>

Daily Metro


Daily Metro Newspaper: Read daily updated headlines of Daily Metro Newspaper

The Daily Metro is an informative, easy to read social tabloid, launched in September 2007. It is published Monday to Friday.

Newspaper Software

News Headlines:


ODM WAKAA NGUMU
CHAMA cha ODM kiliende- lea kukaa ngumu jana, huku kikiendelea kutoa masharti kwa Rais Mwai Kibaki kuhusu jinsi ya kuendesha Serikali ya Muungano. Mzozo kati ya chama hicho na PNU ulionekana
Migingo: Uganda ilipewa ruhusa
KAMISHNA wa Polisi, Meja Jeneral Hussein Ali ndiye aliyeidhinisha polisi wa Uganda kuendelea kupiga kambi ka- tika kisiwa cha Migingo ziwani Victoria huku waziri msaidizi akilaumu uamuzi huo.
Ashauri washirika wakuu
MBUNGE wa Kitutu Chache, Bw Richard Onyonka, anawataka washirika wakuu katika Serikali ya Muungano, Rais Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga, wachukue hatua ya kuwahakikishia Wakenya amani. Alis
Mvua kubwa yaharibu mimea
0 MBEGU za thamani ya mamilioni ya pesa ambazo zilikuwa zimepandwa na wakulima mashambani ziliharibiwa na mvua kubwa iliyonyesha katika wilaya ya Gucha. Afisa wa kilimo wilayani, Bw William Ndi
Wanapuuza kanuni za afya hotelini
11L TAT,'1 WAKAZI wa mji wa Kitale wanaonekana wamepuuza wito wa Serikali wa kuzingatia usafi ili kuepuka ugonjwa hatari wa kipindupindu. Uchunguzi uliofanywa ulionyesha kuwa wakazi hao
Waganda walipewa idhini
bendera ya Uganda kisiwani Migingo hakumaanishi kwamba Uganda ndiyo mmiliki wake halisi. "Kudumisha sheria na utangamano hakumaanishi kwamba kisiwa hicho kinamilikiwa na mtu yeyote," akasema Dkt
ODM yatoa masharti
wa ODM kwenye mkutano ulio- fanywa katika jumba la Harambee, Nairobi, walimtaka Rais Mwai Kibaki awe akimshauri kwanza Waziri Mkuu, Raila Odinga, kabla ya kufanya uteuzi wowote, kwa sababu mkata
Wanafunzi kulishwa shuleni ili wasitoroke
MKUU wa Wilaya ya Meru Kusini, Bw Ben Gachicio ametangaza mpango wa kulisha wanafunzi shuleni katika tarafa ya Igamba Ng'ombe. Wakazi wa tarafa hiyo wamekabiliwa na hali mbaya ya kianga
Wilaya nyingi huenda zikazua shida nyingi- Kigen
UBUNIFU wa wilaya nyingi nchini huenda ukasababisha hali ya kutoelewana miongoni mwa wa- nanchi na mapen- deleo katika utoaji rasilmali na uajiri. Hayo yalielezwa na Mbunge wa Ron- gai, Bw L
Barabara kuwekwa lami mwaka huu
TC SERIKALI itaweka lami barabara ya Chuka, naibu waziri wa kilimo, Bw Japheth Kareke alitangaza jana. Alisema pesa za kugharamia mradi huo zitatengwa wakati wa bajeti ya mwaka huu ambayo i
Wazozania makao
1 WILAYA mpya ya Kitui Magharibi huenda isitengewe pesa za kugharamia huduma zake baada ya viongozi wa sehemu hiyo kuanza kuzozana juu ya ni wapi makao yake makuu yatajengwa. DC Bw Joshua Che
Njaa: Serikali kuwasaidia waathiriwa
ZAIDI ya familia 1,000 katika tarafa ya Kambirwa, wilayani Murang'a Kusini, zinaendelea kukabiliwa na janga la njaa. Mkuu wa wilaya hiyo Bw George Natembea, alisema kuwa kutokana na hali hiyo
Wanafunzi 2 wafariki kwa moto
WANAFUNZI wawili walikufa na mwengine kupata majeraha mabaya baada ya nyumba yao kushika moto kwa njia isiyoeleweka. Kisa hicho kilitokea Jumatano usiku katika kijiji kilichoko ufuo wa Kol
Msamaria mwema awafaa wakimbizi wa Nakuru
WAATHIRIWA wa vita vya baada ya uchaguzi waliokuwa wamepiga kambi karibu na afisi za Mkuu wa Wilaya ya Nakuru, walipata afueni baada ya Masamaria Mwema kuwanunulia shamba. Mfanyabiashara wa Naku
Mshukiwa abambwa
POLISI mjini Maralal, wamemtia mbaroni mshukiwa wa dawa za kulevya aliyekuwa na bangi ya thamani ya Sh 72,000. Naibu wa mkuu wa polisi wilayani Samburu Bw Osborne Mwawaza, alisema jana kuw
Mimba: Wagema walaumiwa
WAGEMA wa pombe ya mnazi wame- laumiwa kwa kuwatunga mimba wasichana wa shule za msingi eneo la Kisiki cha Mzungu wilayani Malindi. Mkuu wa tarafa za Malindi na Lango Baya Bi Josphine Njenga na
Mwanamke ajeruhiwa kwa kisu
MWANAMKE wa umri wa miaka 25 mjini Malindi, jana alinusurika kifo baada ya kudungwa kisu mara kadha na mumewe, kwa madai ya kushiriki ngono ya pembeni. Mhasiriwa alikimbizwa hospitali kuu ya w
Tumieni maji ya mvua-DC
MKUU wa Wilaya ya Tana River, Bw Musiam- bo Wanyama, ame- washauri wakulima wa sehemu hiyo watumie maji ambayo inapatika- na wakati huu baada ya mvua kunyesha kuny- unyizia mashamba yao. Alis
Aongoza duniani kwa kuvunja rekodi 100
Mfanyabiashara amefanikiwa kuvunja rekodi ya rekodi zote kwa kuwa mtu wa kwanza kushikilia rekodi 100 za dunia za Guinness World Records. Guiness World Records ilithibitisha Jumatano jioni kwamb
Mrembeshaji bandia ndani
Mwanamume Mhispania ambaye alitumia vifaa vya matibabu ya wanyama kuendesha upasuaji wa urembo amekamatwa. Polisi wamesema wamemkata mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 63 kwa kuendesha huduma
Tabia mbaya yamtia motoni
- Mwa- namume mwenye umri wa miaka 28-amehukumiwa jela wiki tatu kwa kumkojolea nyanya mwenye umri wa miaka 66 walipokuwa kwa ndege mwezi uli- opita ambayo ilikuwa inaelekea Honolulu kutok
Chatu wanne wavuruga safari angani
1 - Kampuni ya Qantas Airways ilisimamisha huduma na ndege yake ya Boe- ing 737 baada ya chatu wanne kutoka kwa kizuizi chao katika sehemu ya mizigo ndege ikitoka Alice Springs hadi Mel- b
Sheria mpya za uhamaji zatatiza unyoaji kondoo
M Kondoo nchini Uingereza watakuwa na wakati mgumu wakati huu wa jua kali kwa sababu ya upungufu wa watu wa kuwanyoa manyoya. Kawaida wanyama hao hunyolewa na raia wa Australia na Newzealand
Mapishi duni yawaletea balaa
Maafisa wamesema kwamba wafanyakazi wawili wa Domino wa kutengeza Pizza wanakabiliwa na mash- taka ya kusambaza chakula ambacho hakifai kuliwa. Wafanyakazi hao walionekana kwa video iliyowekwa kw
Maonyesho poa ya maua
KWA wengine, maua ni anasa hasa msimu wa ukame. Mfanyakazi anyunyizia maua maji katika bustani ya al-Za- wra, katika maonyesho ya maua yaliyofanyika juma hili mjini Baghdad. Nchi za kigeni
Ranneberger amkeketa maini mbunge
MBUNGE wa Molo, Bw Joseph Kiu- na, jana alimtaka balozi wa Amerika aheshimu viongozi waliochaguliwa na wananchi. Bw Kiuna alimlaumu Bw Michael Ranneberger kwa kuzuru eneo bunge lake bila kumj
Kamati kukagua nyumba
BARAZA la Manispaa ya Mombasa litabuni kamati ya wataalamu itakayokagua nyumba na kuzitambua zilizojengwa bila idhini ya manispaa hiyo. Katibu wa baraza hilo Bw Tubman Otieno, alisema jana kuw
SHTAKANI
Yaya akana kuua mtoto wa mwajiri
YAYA mwenye umri wa mia- ka 17, jana alikanusha shtaka la kumuua mtoto wa mwajiri wake aliyekuwa na umri wa miezi mitatu. Bi Miriam Atsieno alimwambia Jaji Nelson Osiemo kuwa kamwe hakumuua
Babu afungwa kwa ulaghai
MZEE mwenye umri wa miaka 65, jana alifungwa miaka mitatu kwa kumlaghai mfanyibiashara Sh1 milioni akidai angemuuzia ploti katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi. David Muriithi Ngari alisukumw
Mjane atakaa jela miezi sita
MWANAMKE mjane aliyepatikana akiuza pombe ya kienyeji bila ya leseni, jana alifungwa jela miezi sita na mahakama ya Voi. Bi Alice Mumbi, mwenye watoto wanne, alitiwa mbaroni na polisi katika
Miaka kumi kwa unajisi
MWANAUME aliyejaribu kumnajisi msichana wa miaka 15, jana alifunzwa adabu na mahakama ya Siakago alipofungwa miaka kumi gerezani. Mamake msichana ambaye alikuwa shahidi, alieleza jinsi Cyp
NCCK: Wakenya wawatizama kwa jicho pevu
B ARAZA a Kanisa nchini (NCCK), lilitoa taarifa kupitia kwa katibu wake mkuu, Ka- sisi Peter Kara nja, likitaka uchaguzi mpya mkuu ufanywe kwa madai kuwa viongozi walioko sasa wam
Sensa ifanywe kwa utaalamu
S ERIKALI inapanga kutumia Sh7.36 milioni kugharamia shughuli ya kuhesabu watu takayofanyika mwaka huu yaani sensa. Katika miaka ya nyuma, takwimu za sensa hazijawahi kutumika kikamilifu kat
Agizo la Kinyua ni la ajabu
K ENYA ni nchi ya ajabu! Mbinu za ajabu hu- tumiwa kushughulikia maswala muhimu ya kitaifa, aliyejaaliwa akili akajiuliza wakuu wa Serikali yetu ni waigizaji sin- ema za kuchekesha ama viong
Pesa za wafanya kazi zisiachwe kupotea
M AAJABU ya taifa letu ni mengi na katu hayai- shi. Licha ya matatizo mengi tuliyonayo ya kisiasa, njaa, uhalifu usioisha na umaskini, kuna uporaji wa akiba za wafanyikazi ambao umefichuli
Mmehitimu, ndio lakini hatuajiri walemavu!
N I I wachache wanaozaliwa na dosari za kimaumbile hukubali hali yao na ku- kabiliana na changamoto za kimaisha. Wengi huguna na kulalamika huku wakijuta ni kwanini walizaliwa. Lakini kw
NANI GWIJI? - Biashara imemteka, akalegea kimuziki!
I 55 *I 1 | 5 lalia aleq( i nyota wa LJnachukuli
Kimuziki anishinda, 'kichapaa' niko sawa na anafahamu hilo!
Fa i ea k suziki wa aje vipi ufi- 10 I I
kachero wetu
Historia ya Hazina
HAZINA ya Kitaifa ya Malipo ya Uzeeni, (NSSF) ilibuniwa mwaka 1965 kupitia kifungu 258 cha sheria. Ilinuiwa kuwekea wafanyakazi wote akiba. Mwanzoni, ilifanya kazi kama idara ya Serikali chin
NYOTA WETU LEO
SHINDA NA TAIFA
Nakala hii itakuwezesha kushiriki katika shindano la Ng'amua ushinde na Taifa Leo. Kuna shilingi elfu mbili kila siku za kushindaniwa. Kata kiu kila asubuhi kwa nafasi ya kushinda.
SCAM MAY LOCK OUT WEAK KCSE CANDIDATES
THOUSANDS of Form Four stu- dents may not sit for this year's KCSE examination because the Government has stopped some schools from registering candidates. A circular from the Ministry of Ed
Nairobi Nights
, Isaac Reggae gospel musician rnoon Blackman, on Sunday afte ple- entertained fans at the KICC Owen nary
BAD ECONOMY MAY FOLD BRITNEY'S CIRCUS TOUR
BRITNEY Spear's father has been seeking permission from a judge to expand the pop star's cur- rent Circus tour - but the poor economy may hamper those plans, it was revealed in a Los Angeles cou
Winehouse pens betrayal track
Singer Amy Winehouse has reportedly penned a new track called The Ultimate Betrayal follow- ing claims her estranged husband is expecting a child with another woman. Mother-of-two Gilleen Morr
Justin Timberlake to climb Kilimanjaro
Pop star Justin Tim- berlake will climb Mount Kilimanjaro in Tanza- nia, along with rapper Lupe Fiasco and singer Kenna, in an effort to bring awareness to the global water crisis. "I'v
Psst... - NICOLLETTE SHERIDAN IS LEAVING WISTERIA LANE
Nicollete Sheridan's character, Edie Britt, is about to meet her demise on Desper- ate Housewives, but the blonde star isn't losing any sleep over it. "I said, 'OK, sayo- nara. It's been a great r
Psst... - READY TO SAVE THE EARTH: DICAPRIO GOES THE GREEN WAY
Actor and environmental activist, Leonard DiCapri, 34, is auctioning off the opportu- nity to attend the premiere of his up coming drama Shutter Island - complete with eco-car service to and from
MIDWIFE BRAVES RAID, SAVES BABY
A VILLAGE is rejoicing over the heroics of a midwife who braved attacks from raiders to help a young woman deliver a baby during the Easter holidays. Rosemary Nafula Wekesa helped Irene Nekesa
In memory of the Nakumatt fire victims
Free peace concert held at Makongeni
On Easter Monday, artistes from dif- ferent recording stables in Nairobi performed at a free concert held at the Makongeni grounds, Nairobi. The arttistes - Wiwy, Sinpare, Wenyeji, Wakamba Wawili
CHRIS BROWN DENIES ROMANCING NATALIE
Chris Brown is deny- ing reports that he's getting romantic with singer Natalie Mejia. The R&B singer, 19, was photographed with Mejia, 20, and another man on Sat- urday at a Hollywood tatto
Boomba and Genge showdown in Coast
The place to be last Saturday was Club Lambada, Mtwapa as Nameless and Jua Cali entertained their fans with a good mix of Boomba and Genge. The scenes:
Psst... KANYE WEST'S ARRAIGNMENT ON MISDEMEANOUR CHARGES DELAYED
Kanye West's arraignment on misdemeanour charges has been delayed until May. Lawyers for the rapper and his road manager were granted a delay to enter pleas until May 20 during a brief h
Psst... TROUBLED LINDSAY LOHAN GETS MARILYN MONROE QUOTE TATTOO
Lindsay Lohan recently got a new tattoo as part of her post-break up makeover. According to a source who has seen the new ink, Lohan, 22, got a Marilyn Monroe quote tattooed on her inner-wrist d
BROWN HAUNTED BY TROUBLED PAST
BY THE look of things, Chris Brown's past is haunting him, and it doesn't seem like this whole Chrihanna debacle will end any time soon. In an interview conducted in 2007 and now released in
Britney says no to marijuana
Britney Spears stormed off stage over fans smoking marijuana - de- spite her own history of drug abuse The singer, 27 disappeared three songs into her set and did not return for 40 minutes. Ba
Ohangla star to tour Germany and Switzerland
Popular Ohangla musician, Osogo Winyo aka John Okinyi, is due to fly out tomorrow, for a one month tour of Germany and Swit- zerland. Speaking to Metro Vibe from Mombasa,
Psst... DOCTOR FOR KANYE WEST'S MOM SURRENDERS MEDICAL LICENSE
Dr. Jan Adams, who per- formed surgery on Kanye West's mother a day before her November 2007 death, has given up his medical license, according to the Medical Board of California. "A series of
PIRATES' FURY OVER RESCUE OPERATION
THE world's attention was on Mombasa when news began to trickle in that an American sea captain held by Somali pirates had been rescued by the US Navy. The Kilindi Habour, where the ship Ma
Psst... LAWYERS PLAY TABLOID GAMES TO PUT PRESSURE ON QUEEN LATIFAH
Lawyers for Queen Latifah's former glam squad are threatening to expose her 'life- style' if the Queen does not pay the duo the $ 1 Million (Sh 80 M) dollars she owes them. Lawyers for the suing d
KENYAN INVENTION MAY SAVE FORESTS
A KENYAN company has won international acclaim after its invention - a cheap solar cooker - won first prize in a global contest for environmentally friendly innovations. The Kyoto Box, invented
We owe team's success to our supporters, say rugby heroes
KENYA'S growing respect on the international sevens circuit has been borne out of great team effort - effort that is readily acknowledged by players. The players believe it's not just their har
Morgan Heritage Live At The Carnivore, Nairobi
Morgan Heritage, the regg ae- singing siblings, performed at the Carnivore on Friday night. As usual, they brought the house down with their electrifyi
Was 'The Agency' crew conned?
The Agency crew members now claim that the Sterling Quality Company, which was in charge of production, never paid them their dues, despite the fact that MNET gave them money for that purpose.
REGGAE FANS TELL OFF KENZO
ON FRIDAY, the 'Mama Milka' hit maker Kenzo was booed off stage by reggae fans who had trooped to the Carni- vore grounds, Nairobi, for the Morgan Herit- age concert. The Rastafarians had n
Psst... - JENNIFER HUDSON TO WED IN A 'MOST UNTRADITIONAL' DRESS
The singer-and-actress will wed her partner, David Otunga, soon- al- though she will not reveal an exact date - and wants her three Po- meranian dogs - Dreamgirl, Oscar, and Grammy - to p
Psst... - OPRAH DEFENDS THE RECORD OF HER SOUTH AFRICAN SCHOOL
Oprah Winfrey acknowledged in a newspaper interview published Saturday that she has made several mistakes at her elite South African school, but said she remains proud of its success. The recent
GOVT EMBARKS ON SCHOOL REFORMS
STUDENTS will soon be allowed to set school rules and elect prefects, if recommendations by the Government and other agencies are adapted. A report by the Ministry of Education and the
To the rescue
Grandpa screams for 'missing car'
AN ELDERLY man attacked a parking attendant when he missed his vehicle where he had left it. Although the city council parking attendant work- ing along Kimathi Street in the city centre sai
Amber Rose turned o? by Kanye
Kanye's latest girlfriend, Amber Rose, was overheard telling friends that this whole publicity stunt relationship would only last a little while longer. She complained about how turned o? she was
Psst... CHRIHANNA DRAMA: HE WAS STRESSED AND SHE'S POSSESSIVE
Rihanna is on the cover of the May issue of Vibe magazine. And, in what the magazine is calling an "investigative report", they talk to sources close to Chris and Rihanna. A former bodygu
PLANS UNDERWAY FOR HIV TEST AT YOUR DOORSTEP
KENYANS will soon know their HIV status from the comfort and privacy of their living rooms. In what is seen as a depar- ture from previous ap- proaches - testing for the HIV virus will soon be
Ole Sena's lucky day
Up-coming comedian, Jonathan ol Sena, seems to be court- ing luck. He has not only recently joined KBC's comedy show, Vioja Mahakama- ni, but also seems to have fans in high and might
WE FORGAVE MUSIC PROMOTER: NYOTA
AFTER the Saturday night altercation be- tween coast musicians and music promoter Graham Katana, the musicians now say they have forgiven Katana for the mishap. Led by Nyota Ndogo, the musi
Psst... LILO SHATTERED OVER BREAK-UP WITH LESBIAN LOVER
Mean Girls star Lindsay Lohan and her les- bian lover Samantha Ronson have broken up - and Lindsay is not taking it well. LiLo spoke out about her split from girlfriend Sam, calling the break-u
ANOTHER SCHEME TO BUILD CAREERS
YOUNG Kenyans have be- come the latest target of credit offers and job crea- tion schemes being intro- duced by the Government and local banks. In the clearest indicator that the Government
A LIFETIME OPPORTUNITY
Lt Cannon Phillip K Serem (left) examines the academic papers of one of the youths who turned up at the Maitha Stadium in Kilifi yesterday morning for the ongoing armed forces recruitment drive. Phi
Ransom
This incident is said to have happened in 1993, when Whitney was at the top of her game. Whit- ney allegedly paid out $400,000 (Sh32 million) in ransom money to get Bob back. Collins said Whit
Beyonce's little sister dropped from label
Beyonce Knowles' little sister, Solange, was dropped from her record label, Geffen Records, because she was not 'saleable'. Geffen did a one-off deal with Music World Entertainment for Solange an
Queen Latifah to act Just Wright
Queen Latifah aka Dana Owens, is set to star in Just Wright, a romantic com- edy. The project is a modern day take on the Cinderella story, featuring Lati- fah as a physical therapist, who falls i
Whitney paid ransom for ex-husband Bobby Brown
Whitney Houston's ex- husband, Bobby Brown, was once a kidnap victim, and Whitney paid the ransom. According to new information from an autobiography written by David Collins, who was a former
THREE LUCKY DUBE KILLERS TO SPEND LIFE IN PRISON
THREE MEN accused of killing South African reggae superstar, Lucky Dube, were jailed for life on Tuesday. In an act which sent shock waves through music-lovers across Africa, Dube was shot
Psst... - ACTRESS DREW BARRYMORE TIRED OF DOING LOVE STORIES
She has made her mark as a charming love interest on screen, but if Drew Barrymore has her way, she'll be tackling more serious roles from now on. "I'm in my thirties now, and I really w
Psst... - RIHANNA'S FATHER NOW SAYS CHRIS BROWN IS IN DENIAL
Rihanna's dad, Ronald Fenty, says he is confused by Chris Brown's Not Guilty plea. Ronald told Us Weekly that Chris is in denial and he needs to explain how Rihanna got beat down if he's "not guilt
a i r obi N es Scen
YOUR SAY t on To commen nd se this story your VIBE then 02 0 TEXT to 4 ged ar All SMS ch ove @5/-